RUNGU Insecticide Spray

Having been in the market for over 30 years, RUNGU Insecticide Spray is at the forefront of the fight against Malaria.

We have constantly sought to review and improve our formula to increase its potency and have re-introduced the product with 3 new scents; Lemon, Orange and Potpourri.

RUNGU Insecticide Spray is the immediate solution to most flying and crawling insects that may come between you and a good night’s sleep!


Baada ya kuwa katika soko kwa zaidi ya miaka 30, dawa ya RUNGU ya kuua Wadudu warukao na watambao ipo mstari wa mbele katika vita dhidi ya Malaria.

Tunaendelea kuchunguza na kuboresha bidhaa yetu ili kuongeza uwezo wake. Vilevile tumeanzisha bidhaa zenye manukato tatu tofauti; Ndimu (Lemon), Chungwa (Orange) na Maua (Potpourri).

RUNGU Spray ni suluhisho la haraka kwa wadudu warukao na watambao ambao wanaweza kuja kati yako na usingizi mzuri wa usiku.

Click here for image gallery