RUNGU Max Double Edge Blades

The Double Edged Blade is a must-have product for most Tanzanians’ day to day lives. Hence it is a product which is highly in demand.

With a vision to provide an overall better quality blade, for a smoother shaving experience, our team introduced RUNGU MAX Stainless Steel Platinum Coated Blades.

RUNGU MAX Blade has captured the market with its superior sharpness and tough edges. This has resulted into nationwide demand and availability, with the trendy catchphrase "RUNGU MAX ni goody goody!"


Wembe yenye makali pande zote mbili ni bidhaa ipendwayo na Watanzania wengi na hivyo ni uthibitisho wa bidhaa yenye ubora zaidi unaotakiwa na watumiaji.

Kutokana na timu yetu kuwa na mtazamo wa mbele, ikachanganua kuingiza wembe bora katika soko na kuipa umaarufu kuwa RUNGU MAX.

Kwa hiyo, RUNGU MAX imechukua nafasi yake katika soko na viwango vyake vya hali ya juu na ni ya kimataifa "RUNGU MAX ni goody goody!"

Click here for image gallery