Rungu Medicated Soap

The equatorial climate in Tanzania brings with it year-long sunshine and periodical intense heat. Under the scorching Sun, do we see the people of this great nation striving and working hard.

Our Anti-Bacterial Soap provides the perfect blend of smoothness and germ protection; targeting common bacteria due to prolonged exposure to dust.

RUNGU Medicated Soap has a numerous uses including bathing, washing hands, shaving, cleaning and much more.

“Kinga Afya yako na ya Familia yako na RUNGU Medicated Soap!”


Hali ya hewa ya joto nchini Tanzania huleta jua na joto kali. Chini ya mtazamo huo tunashuhudia kuona watu wa taifa hili wakijitahidi na kufanya kazi kwa bidii katika nyakati ya jua kali ya hali ya hewa.

Sabuni Yetu ya Dawa (RUNGU Medi) hutoa ulinzi kamilifu kwa ngozi wa mwili wa mwanadamu na kupambana na vinyemelea. Malengo ni kuua vijidudu vinavyosababishwa kutokana na jasho na vumbi iliyokithiri.

Sabuni ya Rungu inaweza kutumika kwa kuoga, kuosha mikono, kusafisha na mengi zaidi.
"Kinga Afya yako na ya Familia yako na RUNGU Medicated Soap!"

Click here for image gallery