Rungu Pens

The prosperous future of the nation of Tanzania primarily depends upon the education of the up-coming generations.

The Father of Our Nation, Mwalimu Julius K. Nyerere is famously quoted to have said, "Education is not a way to escape poverty, it is a way to fight it."

Rungu Pen is one of the tools in the fight against poverty. We present to you Rungu Pen in a variety of choices and assorted colors. The pen contains good quality ink which flows smoothly through the pen nib, even after several falls – all this at an affordable price!

The Rungu Pen is very user-friendly, flexible in writing and can easily fit into stationery boxes. It is a product which we would also recommend for office use.

Let Rungu Pen do the writing!


Msingi wa ustawi wa baadaye wa Taifa la Tanzania hasa hutegemea elimu ya vizazi vijavyo.

Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius K. Nyerere, usemi wake mashuhuri inanukuu kwamba, "Elimu sio njia ya kuepuka umaskini, ni njia ya kupigana nayo."

Rungu Pen ni moja ya zana za kupambana na umasikini. Tunachukua fursa ya kuwaletea Rungu Pen katika aina mbalimbali za uchaguzi, zenye wino wa ubora wenye maadishi safi, na kwa bei nafuu.

Ni bidhaa ambazo kutokana na rangi zake na uimara hata baada ya kuanguka chini, haisiti kuandika hivyo tunapendekeza pia kwa matumizi ya ofisi.

Rungu Pen imetengenezwa kwa matumizi rafiki, hususan kwa maandishi nyororo na inaweza kukaa kirahisi katika masanduku la kuhifadhia vifaa vya maadishi.

Jukumu la Rungu Pen ni kuandika, wakati biashara yako inazungumza!

Click here for image gallery